iqna

IQNA

Ratko mladic
TEHRAN (IQNA)- Majaji wa Mahakama ya Jinai za Kivita ya Umoja wa Mataifa wamedumisha hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Jenerali Ratko Mladic, aliyekuwa kamanda wa kijeshi wa Serbia, ambaye mwaka 2017 alipatikana na hatia ya kuagiza na kuongoza mauaji ya maelfu ya Waislamu huko Srebrenica mwaka 1995.
Habari ID: 3473996    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/10